Hot News!! HOFU YA FREEMASON YATANDA HUKO NGARA,MMOJA AFARIKI KIUTATA HOSPITALI,ALIPIGA NAMBA YA FREEMASON
Tuesday, April 14, 2015
Mkazi mmoja wa Kabanga wilayani Ngara mkoani Kagera aliyefahamika kwa
jina la vedasto kilosa amefariki kwa kujinyonga kwa kutumia shuka akiwa
hospitali ya Murgwanza usiku wa kuamkia leo tarehe 14/4/2015.
Mdau wetu Ezra Essau ameandika hiki kwenye ukurasa wake wa Facebook "Ushirikina umehusika sana kwa wakazi wa kabanga mtakumbuka kuna siku
vikaratisi vyilikutwa vimesambazwa asubuhi mnamo mwezi wa 11 mwaka jana
vikidai kuwa vina namba za Freemason sasa jamaa inadaiwa alikichukua na
kupiga zile namba tangu siku hiyo akawa anechanganyikiwa akili kwa
juhudi za maombi alipona na kupata nafuu lakini Jumamosi hii alishikwa
tena baada ya chakula alichokuwa amepika yaani wali gafla ulijaa wadudu
waliotengeneza kitu kama kichuguu katikati hali iliyoshitua wengi kwani
nn chakula kigeuke hivyo na gafla mtu ashikwe tena na uchizi. Ndipo
alipelekwa hospitali na kisha jana amekutwa amejinyonga"
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com
Social Plugin