Hot News!! TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI YAAHIRISHA UPIGAJI WA KURA YA MAONI TANZANIA
Thursday, April 02, 2015
Katika kikao cha waandishi walichoitisha leo mchana, Tume ya taifa ya
uchaguzi wameahirisha kura ya maoni iliyokuwa ipigwe April 30 hadi
watapotangaza vinginevyo kutokana na kutokamilika kwa uandikishaji wa
daftari la kudumu la wapiga kura kwa kutumia mfumo wa BVR.
Chanzo-Kibonajoro.com
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com
Social Plugin