Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

Najua Utashtuka!! NIMEKUWEKEA HAPA VIDEO YA MICHELLE OBAMA (Mke wa Rais OBAMA) AKICHEZA DANCE LIVE !!!

Jimmy & Michelle

Lets move ni jina la campaign ambayo ilianzishwa na First lady wa Marekani, Michelle Obama ambapo kampeni hiyo inahusiana na kuhamasisha masuala ya kuzingatia mlo mzuri, pamoja na kuwa na furaha.

Sasa ni kwamba juzi Michelle alikuwa kwenye Interview na Jimmy Fallon, ishu ninayokusogezea sio kile walichokiongea siku hiyo.. najua utaona kitu tofauti hapa.

Michelle na Jimmy walijiachia.. waka-dance muziki.. wanaonekana happy tuu.. nikajiuliza kitu, hivi ni rahisi kwa mke wa Rais huku Afrika eti kumkuta anacheza kama hivi?


Play hapa uwaone…

Hii sio mara ya kwanza Michelle kujiachia kudance, hii ni video nyingine ya miaka mitatu iliyopita mtu wangu akiwa na wanafunzi…

BOFYA HAPA KUONA

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com