Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

New Audio & Video_ SALMA MURII Ft JUMA MDIGO_Penzi Letu Kwao Shida,SIKILIZA,TAZAMA,DOWNLOAD HAPA



Yule mwimbaji maarufu wa taarabu kutoka mjini Shinyanga Salma Murii maarufu kwa jina la "Mamaa Salma" anayetamba kwa nyimbo yake ya "Kukuacha Siwezi",ameachia wimbo mpya unaitwa “Penzi Letu Kwao Shida”,amemshirikisha msanii Juma Mdigo.

Nimekuwekea hapa Audio na Video ya wimbo huu,Hakika utaupenda.
Wasiliana na Salma Murii kwa simu namba 0759 727 737


Bonyeza Play hapa Chini,Audio Juu,Chini Video



Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com