Yule mwimbaji maarufu wa taarabu kutoka mjini Shinyanga Salma Murii maarufu kwa jina la "Mamaa Salma" anayetamba kwa nyimbo yake ya "Kukuacha Siwezi",ameachia wimbo mpya unaitwa “Penzi Letu Kwao Shida”,amemshirikisha msanii Juma Mdigo.
Nimekuwekea hapa Audio na Video ya wimbo huu,Hakika utaupenda.
Wasiliana na Salma Murii kwa simu namba 0759 727 737
Wasiliana na Salma Murii kwa simu namba 0759 727 737
Bonyeza Play hapa Chini,Audio Juu,Chini Video
Social Plugin