Jukwaa kuu-Mgeni rasmi katika mahafali hayo alikuwa mwakilishi wa mkurugenzi wa shirika la PSPF ndugu Andrew Mkangaa( wa tatu kutoka kulia) |
Wazazi,wageni waalikwa katika mahafali ya wanafunzi wa chuo cha Ualimu Shycom wakiwa katika Chuo hicho |
Kikundi cha Kwaya cha Wahitimu wakiimba |
DJ Macsteve akifanya yake |
Kwaya inaendelea |
Wazazi wakifuatilia kilichokuwa kinajiri |
Wahitimu wakiwa eneo la tukio |
Sherehe inaendelea |
Wahitimu wakiwa eneo la sherehe |
Furaha ilitawala |
Wengine wakawa hawaamini kama wanahitimu |
Sherehe inaendelea |
Wahitimu wakitafakari maisha baada ya chuo yatakuwaje |
Wahitimu wa ngazi ya Stashahada wakiwa eneo la tukio |
Meza kuu wakifuatilia kwa umakini kilichokuwa kinaendelea |
Huku pembeni nako watu hawakulala |
Mchoraji maarufu bwana Abel (Mr Painter) wa mjini Shinyanga naye hakuwa tayari kupitwa na mahafali hayo |
Zoezi la kupokea vyeti likaendelea |
Wadau wa Malunde1 blog wakiwa katika picha ya pamoja na mhitimu Mariam |
Picha ya kumbukumbu |
Mama akikabidhi zawadi kwa mwanaye |
Zoezi la utoaji zawadi likiendelea,mhitimu akishikana mkono na meneja wa PSPF mkoa wa Shinyanga ndugu Erick Chanimbaga |
Mpiga picha maarufu kwa jina la JJ akiwajibika |
Zoezi la utoaji Vyeti likiendelea |
Zoezi la utoaji vyeti likiendelea,mhitimu akishikana mkono na mkuu wa Chuo cha Shycom Paschal Hai Mangwai |
Mgeni rasmi akikabidhi vyeti |
Wadau wa Malunde1 blog wakiwa eneo la tukio |
Baadhi ya wahitimu wakiwa katika pozi baada ya sherehe kumalizika |
Wahitimu hawa wakaamua kula keki ya pamoja |
Viongozi wa serikali ya wanafunzi ya Chuo cha Ualimu cha Shycom waliohitimu wakiwa eneo sherehe kupiga stori mbili tatu na Malunde1 blog- -Picha zote na Kadama Malunde-Malunde1 blog |
Social Plugin