Ligi
Kuu Tanzania Bara leo Timu zetu zilikuwa mzigoni, ilikuwa kwenye
viwanja viwili tofauti TZ, Yanga SC walikuwa wakibanana na Coastal Union katika Uwanja wa Taifa DAR huku Azam FC wao wakibanana na Mbeya City kwenye Uwanja wa Azam Complex Chamazi..
Nikwambie tu kwamba dakika 90 za kila mechi zimeisha, matokeo yote yako hapa.
Azam na Mbeya City wamekamilisha ratiba kwa kutoka sare ya goli 1-1 ambapo goli zote zilipatikana kati ya dakika 60 na 65 ya mchezo huo.
Kwa upande wa Yanga SC na Coastal Union, Yanga wametoka kifua mbele kwa ushindi wa goli 8-0 dhidi ya Coastal ya Tanga.
Social Plugin