Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

Sikiliza / Download_ WIMBO MPYA WA MSANII WANZIGIZA -"Tamaa" >>UNAHUSU MAUAJI YA ALBINO NA VIKONGWE TANZANIA!!


Malunde1 blog leo inakuletea kazi ya msanii wa nyimbo za asili kutoka kata ya Samuye wilaya ya Shinyanga mkoa wa Shinyanga anaitwa Emmanuel Masanja Sweya maarufu kwa jina la "Wanzigiza",Sikiliza wimbo wake unaitwa "Tamaa".Katika wimbo huu kazungumzia mauaji ya albino,Vikongwe na watu mbalimbali wasio na hatia nchini Tanzania.Wimbo huu umefanyia production yake katika Studio za Bicon mjini Kahama mkoani Shinyanga.Wasiliana na Wanzigiza kwa simu namba 0763-805930

 SIKILIZA HAPA CHINI




Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com