TAZAMA HAPA VIDEO YA MSANII BHUDAGALA MWANAMALONJA_Inaitwa "MASHAKA"
Monday, April 06, 2015
Nimekuletea Video ya Wimbo unaitwa Mashaka kutoka kwa msanii Bhudagala Mwanamalonja,huyu ni msanii wa nyimbo za asili kutoka kanda ya Ziwa Victoria nchini Tanzania.
Bonyeza Play hapa chini Kutazama Video hii Kali hakika utaipenda
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com
Social Plugin