Ni yale matukio ambayo huwa hayajitokezi
sana, imetokea Indiana Marekani ambako Wanafunzi walikuwa kwenye tamasha
la muziki wa Rock shuleni, wachache ndio walikuwa wanatumbuiza lakini
muda mfupi baadae baada ya muziki kunoga wengine wakaja kucheza nao
kwenye stage.
Kilichofata ni stage kuzama baada ya
kutoboka na kufanya Wanafunzi zaidi ya 12 kujeruhiwa ambapo hii video
hapa chini ni ya mtu aliyekuwa anarekodi tukio zima na inaonyesha live
jinsi ilivyotokea mpaka ikazama na Wanafunzi hao.
Social Plugin