Jina lake sio geni Bongo Flevani.. YES YES.. anarudi tena kwenye spika zako mtu wangu.. anaitwa Bushoke.
‘Nimekumanya‘ ndio jina la ngoma yake mpya, karibu mtu wa nguvu na wewe kuenjoy fleva hii ya mkali huyo Bongo.
Wimbo umeandaliwa studio za Tongwe Records… tumia time yako kuisikiliza hapa mtu wangu…
Social Plugin