HABARI zilizotufikia hivi punde ni kwamba watu kadhaa wanahofiwa kupoteza maisha baada ya daladala mbili aina ya Toyota Coaster kupata ajali eneo la Mkwajuni-Darajani jijini Dar es Salaam.
Daladala hizo zinafanya safari yake kati ya Kawe - Kariakoo na nyingine kati ya Temeke - Makumbusho.
Habari zaidi pamoja na picha za ajali hiyo zitawajia hivi punde.
Social Plugin