Aliyekuwa
mshabiki maarufu wa Team ya Yanga Steve Amefunguka na kusema kitendo
chake cha kuhamia kuwa mshabiki wa Azam kutoka Yanga kimefanya maisha
yake yawe Mabovu kimaslahi na umaarufu kupungua sana
Amesema
japo bado anaitamani Yanga lakini hawezi kurudi tena kuishabikia Yanga
kwa kutoonekana Msaliti ...Hivyo anachofanya kwa sasa ni kumuomba Bosi
wa Azam Ampe kazi ya Kuajiriwa katika Team hiyo kama Mshabiki wa Damu ..
Steve
alipata umaarufu mkubwa baada ya Yanga kufungwa Tano na Simba miaka
kadhaa iliyopita ambapo Steve alirekodiwa na Vituo mbali mbali vya TV
akimwaga Kilio cha nguvu
Social Plugin