ANGALIA PICHA JINSI MVUA ILIVYOHARIBU JIJI LA DAR ES SALAAM,WATU WAWILI WAFARIKI DUNIA
Thursday, May 07, 2015
Mvua iliyonyesha jijini Dar es salaam kwa zaidi ya saa 24 imesababisha majanga jijini humo.Jeshi la polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, limetoa tahadhari na kuwataka watu wanaofanyakazi maeneo ya mjini Posta na Kariakoo kuwahi kutoka maofisini kutokana na barabara kujaa maji.Habari tulizozipata hivi punde kutoka kwa Mbunge wa jimbo la Kinondoni Jijini Dar es Salaam, Mhe. Idd Azzan
amesema watu wawili wamekufa baada ya kusombwa na maji katika daraja la
Tandale.
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com
Social Plugin