Breaking News!! UGONJWA WA AJABU WAIBUKA HUKO SIMIYU,MPAKA SASA WAATHIRIKA NI 80!!,UNAANZA KWA KUONGEA OVYO,UNAPIGA WATU KISHA UNAANGUKA
السبت, مايو 09, 2015
Hali ya taharuki imewakumba wananchi katika wilaya
ya Meatu Mkoani Simiyu, baada ya kuibuka ugonjwa wa ajabu uliowakumba wananchi
hao ambao dalili zake ni kuongea ovyo, kuishiwa nguvu pamoja na kuumwa kichwa.
Bado haijajulikana ni aina gani ya ugonjwa
kutokana na baadhi ya waathirika waliofikishwa katika vituo vya afya kupimwa na
kubainika hawana ugonjwa wowote na badala yake kubaki wakiweweseka. <<<SOMA HABARI KAMILI HAPA>>>
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com
Social Plugin