Katika pita pita zangu mtandaoni
nikakutana na hiki kitu, labda na wewe una mtoto mchanga, au unatarajia
kupata mtoto hivi karibuni.. au unatamani kuwa na mtoto alafu
umeshaandaa jina kabisa la kumpa akishazaliwa.
Hapa nimekutana na hii list ya majina
ambayo baada ya kufanyika utafiti na kujua majina ambayo
yalikuwa maarufu zaidi kwa mwaka 2014.. Top 10 ya majina waliyopewa watoto wengi waliozaliwa 2014 mtandao wa Baby Center umeitaja list hii hapa mtu wangu !!
Top 10 ya majina ya watoto wa kike ..
Top 10 ya majina ya kiume niko nayo hapa pia mtu wa nguvu..
Social Plugin