Mkuu wa mkoa wa Shinyanga Ally Rufunga akiwa katika banda la ACACIA
![]() |
Vijana wa kikundi cha Ufyatuaji matofali ya kufungamana cha Buzwagi wakionesha jinsi wanavyofatua matofali. |
![]() |
Mkuu wa mkoa wa Shinyanga Ally Rufunga akiangalia jinsi vijana wa kikundi cha Ufyatuaji matofali ya kufungamana cha Buzwagi wanavyofatua matofali. |
![]() |
Mkuu wa mkoa wa Shinyanga Ally Rufunga akiangalia kilichokuwa kinajiri katika banda la ACACIA |
![]() |
Maonesho yanaendelea |
![]() |
Mkuu wa mkoa wa Shinyanga Ally Rufunga akisisitiza jambo |
![]() |
Banda la ACACIA-Kikundi cha Asali cha Mwendakulima katika mgodi wa dhahabu wa Buzwagi wakiwa na asali yao |
![]() |
Asali kutoka mgodi wa Buzwagi |
![]() |
Bidhaa mafuta yanayotokana na asali |
![]() |
Kikundi cha Tupendane cha mgodi wa Bulyankulu wakionesha sabuni za miche na maji katika banda la ACACIA Picha zote na Kadama Malunde- Malunde1 blog |
Social Plugin