Nimekusogezea Ngoma nyingine ya Msanii mkali wa nyimbo za asili anayeimba kwa lugha ya Kisukuma Bhudagala Mwanalonja kutoka kanda ya ziwa inaitwa "Bhasobhi".Wimbo huu ni miongoni mwa nyimbo zake 6 mpya mwaka 2015 zinazopatikana katika albamu inaitwa "Mhunda".
Tazama Video hapa chini Uburudike mtu wangu,ni nzuri utaipenda
Social Plugin