Matt Mooney ni Engineer wa Dallas
Marekani, anasema hiki alichokifanya ni moja ya ndoto ambazo aliwahi
kuziota tangu akiwa mdogo.. huku kwetu tumezoea makontena yale ambayo
yanabeba mizigo kwenye meli na magari makubwa, watu wengine huwa
wanayatengeneza na kuyafanya maduka, au vibanda vya biashara nyingine
tu.
Nimevutiwa na huu ubunifu kiukweli..
jamaa kachukua kontena zake kama 14 hivi, katengeneza mjengo.. yaani
ukiziona hizo picha za ndani unaweza hata usiamini kwamba huu ni mjengo
ambao umekamilika kwa kutumia kontena tu !!
Zicheki hapa picha zaidi ya 15 kuanzia hatua ya kuanza ujenzi.. nje na ndani mpaka ilivyokamilika.
Social Plugin