Jana mastaa mbalimbali Marekani walijumuika pamoja katika usiku wa 2015 MET Gala huku baadhi ya mastaa hao wakigeuka gumzo kutokana na muonekano wa mavazi yao ambao uliwavutia wengi.
Sherehe hizo za mavazi ambazo hufanyika kila mwaka, jana zilifanyika jijini Newyork na kuhudhuriwa na mastaa mbalimbali.
Beyonce, Kim Kardashian na Rihanna huenda ndio waliotia fora kwa mavazi yao.
Social Plugin