Tunamjua Rihanna wa sasa hivi, wa zamani alikuwaje?? 50 Cent je? Nicki Minaj, Drake, Chris Brown..
Nimezikusanya picha hizi za wasanii hawa 15 wa Marekani kabla na baada ya kuwa maarufu.
Rihanna.. Picha ya kwanza ni zamani akiwa kwao Barbados huko. Kabla hata ya ustaa.
Lil Wayne utotoni na ukubwani yani. Hapo kabla hata hajaujua vizuri mtaa.
Mrs. Carter.. Mama Blue Ivy.. Beyonce
Kanye West kwenye mwonekano wa zamani na wa sasa hivi.
Chris Brown upande huu na mama yake, picha nyingine yuko na suti yake ukubwani sasa.
Rapper Jay Z.. Enzi za ujana na enzi hizi za utu uzima wake.
Rapper na mwigizaji Ice Cube
Calvin Cordozar Broadus Jr a.k.a Snoop Dogg
Mkali mwingine Marekani, Pharell Williams kwenye mwonekano wa zamani na sasa.
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com
Social Plugin