SIKILIZA NA DOWNLOAD WIMBO WA KWAYA YA USHARIKA YA KKKT EBENEZER KANISA KUU SHINYANGA- WAONA NINI"
Monday, May 18, 2015
Nimekuwekea wimbo mpya wa Kwaya ya Usharika ya KKKT Ebenezer kanisa kuu Shinyanga unaitwa "Waona Nini" .Wimbo Waona Nini ndiyo unabeba jina la Albamu ya "Waona Nini",yenye nyimbo 11.Pichani ni wanakwaya wakiimba siku ya uzinduzi wa albamu hiyo hivi karibuni ndani ya kanisa la KKKT Ebenezer kanisa kuu Shinyanga.
SIKILIZA NA PAKUA HAPA CHINI
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com
Social Plugin