Gwiji wa nyimbo za asili kutoka kanda ya ziwa Victoria Bhudagala Mwanamalonja ameachia nyimbo nyingi sana mwezi huu katika albamu yake mpya , zote kali mwezi huu,Leo Malunde1 blog inakusogezea video hii inaitwa Tanzania kati ya nyimbo zilizopo katika albamu yake mpya ya "Mhunda".
Video ni kali sana mtu wangu,hakika utaipenda kwani imebeba ujumbe mzito,kagusa kila idara hadi wabunge kuchapana makonde bungeni na mambo ya uchaguzi mkuu mwaka huu 2015.
Bonyeza Play hapa chini Kuangalia Video ya TANZANIA
Social Plugin