Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

Video Nyingine Mpyaa!! BHUDAGALA MWANAMALONJA_ BHASHIKHE,MSUKUMA HUYU BALAA

Kama kawaida ya Malunde1 blog inaendelea kukuletea nyimbo kadha wa kadha za wasanii wa nyimbo za asili leo nakuletea Hii video mpya ya msanii Bhudagala Mwanamalonja inaitwa Bhashikhe inapatikana katika albamu yake mpya inajulikana kwa jina la "Mhunda"
Tazama hapa chini mtu wangu

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com