Wasukuma Shikamoo!!! ANGALIA VIDEO/SHOW YA MSANII MWANAKWELA WA KAHAMA,NI BALAA,NGOMA INAITWA "CREAM"
Monday, May 25, 2015
Nimekusogezea Show iliyofanywa na mkali wa nyimbo za asili kutoka Bugomba B,Kahama mkoani Shinyanga "Mwanakwela" wimbo unaitwa "Cream".Show ilifanyika Uluguru wilayani Itilimamkoani Simiyu..Mwanakwela ni miongoni mwa wasanii wa nyimbo za asili kutoka kanda ya ziwa mwenye wanenguaji matata na wenye manjonjo ya hapa na pale.ITAZAME HAPA CHINI NI NZURI SANA MTU WANGU,KUNA WATU WAMEJALIWA KUKATIKA,WANAZUNGUSHA VIUNO KAMA FENI
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com
Social Plugin