Hapa ni katika Ukumbi wa Papa John wa pili uliopo katika
kanisa la Mama Mwenye Huruma Ngokolo mjini Shinyanga ambapo jana Juni 12,2015 mafunzo
ya siku 5 ya wagombea watarajiwa ngazi ya udiwani na ubunge katika uchaguzi
mkuu ujao nchini Tanzania yamehitimishwa.
Mafunzo hayo yaliyoandaliwa na TGNP Mtandao yamekutanisha watia
nia zaidi ya 70 kutoka kata na majimbo mbalimbali ya uchaguzi mkoani Shinyanga yakijumuisha washiriki kutoka vyama mbalimbali vya siasa.Mratibu wa mafunzo
hayo katika mkoa wa Shinyanga ni bi Cressida Mwamboma kutoka TGNP Mtandao.
|
Mtia nia ya Ubunge jimbo la Shinyanga mjini kupitia CHADEMA bi Siri Yasin akizungumza wakati wa semina hiyo iliyolenga kuwawezesha wanawake,vijana na walemavu waweze kugombea
katika uchaguzi mkuu ujao,ambapo wamepatiwa mafunzo kuhusu namna ya kujenga
hoja,kuelewa haki zao kutenda haki kwa kuzingatia usawa wa kijinsia kupitia makundi
mbalimbali katika jamii.
|
|
Watangaza
nia kuwania ubunge na udiwani kutoka maeneo mbalimbali ya mkoa wa Shinyanga
|
|
Watangaza nia makundi ya wanawake,vijana na watu wenye ulemavu wakiwa ukumbini wakifuatilia kilichokuwa kinaendelea
|
|
Watangaza nia kuwania ubunge na udiwani wakiwa ukumbini,ambapo wamejengewa uwezo na maafisa kutoka TGNP Mtandao kuhusu mambo ya uongozi
|
|
Bwana Marco Mashauri ambaye ni mlemavu wa macho/asiyeona alitengaza nia kuwania udiwani katika kata ya Mhongolo akizungumza katika semina hiyo ambapo aliwataka watanzania kutowabeza watu wenye ulemavu hivyo wawape nafasi ya kuwaongoza kwani elimu na uwezo wanao
|
|
Washiriki wa semina hiyo wamefundishwa namna ya kufanya kazi na waandishi wa habari na katika harakati zao
|
|
Yohana Richard Mpongo ambaye ni mlemavu wa macho aliyetangaza nia ya
kuwania udiwani katika kata ya Bugayambelele katika manispaa ya Shinyanga akizungumza katika semina hiyo ambapo aliitaka
jamii kuwapa kipaumbele watu wenye ulemavu kwani nao wana haki ya kuwa viongozi
kikatiba.
|
|
Mtia nia kuwania ubunge katika jimbo la Solwa bwana Moshi Enos akizungumza katika semina hiyo,kushoto ni mwandishi wa habari kutoka radio Faraja Veronica Natalis
|
|
Mtangaza nia kuwania udiwani katika kata ya Ukenyenge wilayani Kishapu John Lugembe ambaye ni mlemavu wa viungo akizungumza katika semina hiyo ambapo aliwataka wananchi kuwapa nafasi watu wenye ulemavu katika uongozi
|
|
Mtangaza nia kuwania ubunge jimbo la Shinyanga mjini kupitia CHADEMA Zenna Mussa Gulam akizungumza katika semina hiyo
|
|
Watangaza nia wakiwa ukumbini,kushoto ni Clara
John aliyetangaza nia kuwania ubunge jimbo la Msalala kupitia chama cha TADEA
|
|
Watangaza nia wakiwa ukumbini
|
|
Watangaza nia wakiwa ukumbini |
|
Watangaza nia wakiwa ukumbini |
|
Watangaza nia wakiwa ukumbini |
|
Watangaza nia wakifuatilia kilichokuwa kinaendelea ukumbini
|
|
Mwezeshaji wa mafunzo hayo Sophia Ndibalema akisisitiza jambo wakati wa semina hiyo
|
|
Mtangaza nia ya udiwani Charles Kafuku ambaye ni mlemavu wa viungo akionesha mpango kazi aliouandaa ili kufanikisha malengo yake
|
Picha zote na Kadama Malunde- Malunde1 blog
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com
Social Plugin