Eneo la tukio
Watu 23 wamepoteza maisha
usiku huu katika ajali ya gari aina ya costa mali ya Another G
inayofanya safari zake kati ya Njombe - Iringa baada ya kugongana na
Lori/Semi Traille.
Habari za awali zinasema kuwa ajali hiyo imetokea baada ya basi hilo kukwepa bajaji,na kugongwa na lori.
Habari za awali zinasema kuwa ajali hiyo imetokea baada ya basi hilo kukwepa bajaji,na kugongwa na lori.
Taarifa za awali ambazo tumezipata kutoka eneo la tukio zinadai kuwa ajali hiyo imetokea eneo la Kinyanambo nje kidogo na mji wa Mafinga wilaya ya Mufindi mkoani Iringa wakati gari hiyo ya Another G ikitokea Njombe kwenda Iringa.
Inaelezwa kuwa waliofariki dunia mpaka sasa ni 23, majeruhi ni
34.
Social Plugin