Habari za hivi punde zilizokifikia chumba cha habari cha Malunde1 Blog kutoka Mkoani Geita ni kwamba mtangaza nia kugombea nafasi ya
udiwani kata Rwamgasa wilaya ya Geita na Ubunge jimbo
la Busanda mkoani Geita kupitia Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA)Paulo Ntilima ( 30) amecharangwa mapanga sehemu mbalimbali za mwili wake na watu wasiojulikana usiku huu.
Mwandishi wa Malunde1 blog mkoani Geita Valence Robert ambaye amefika eneo la tukio anasema mtia nia huyo amelazwa wodi namba 8 hospitali ya wilaya ya Geita kwa ajili ya matibabu.
SOMA HABARI KAMILI HAPA
SOMA HABARI KAMILI HAPA
Social Plugin