Breaking News!! WANAFUNZI 6 WATEKETEA KWA MOTO KWENYE GARI LA SHULE HUKO RUVUMA
Thursday, June 04, 2015
Habari kutoka mkoani Ruvuma zinasema kuwa wanafunzi 6 wa shule ya sekondari ya Misheni ya Kigonsera wilaya ya Mbinga mkoani Ruvuma wanadaiwa kupoteza maisha na wengine 26 kujeruhiwa vibaya katika gari linalomilikiwa na mwalimu mkuu wa shule hiyo.
Social Plugin