Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

Breaking News!! WANAFUNZI 6 WATEKETEA KWA MOTO KWENYE GARI LA SHULE HUKO RUVUMA

 Habari kutoka mkoani Ruvuma zinasema kuwa wanafunzi 6 wa shule ya sekondari ya Misheni ya  Kigonsera wilaya ya Mbinga mkoani Ruvuma wanadaiwa kupoteza maisha na wengine 26 kujeruhiwa vibaya katika gari linalomilikiwa na mwalimu mkuu wa shule hiyo.



Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com