Leo June 23 2015 Mahakama ya Sinza Dar imetoa hukumu ya hatma ya mtoto wa Mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi na mzazi mwenzake Faiza kwa kuruhusu mtoto huyo kulelewa na baba yake kwa madai kuwa mama hana vigezo vya kumlea mtoto huyo kimaadili.
Faiza ameongea kwa huzuni kuhusu hukumu hiyo, anadai kuwa hajatendewa haki na
pia baba wa mtoto hawezi kumlea kwa sababu ana mambo mengi.
Hata hivyo Faiza amesema pamoja na lawama ambazo amepewa kuhusu mavazi yake bado yuko tayari kujirekebisha.
MSIKILIZE HAPA
MSIKILIZE HAPA
Social Plugin