Ni kama utani hivi.. eti kweli ikitokea
ndoa inaisha alafu Mahakama ikaamua kila kitu mgawane nusunusu, hiyo
nusu yenyewe ndio inakuwa kwenye mtindo huu??
Der Juli ni
jina la Mjerumani mwingine kwenye Headlines baada ya kuingia mtandaoni
na kutangaza kwamba anauza hivi vitu ambayo wamegawana nusunusu na mkewe
baada ya ndoa kufikia mwishoni.
Cheki pichaz za vitu vyewewe sasa !!Hii nusunusu unaionaje mtu wangu, iko sawa kweli? Nipe comment yako hapa chini
Hapa kuna video wakati jamaa yuko busy kabisa anagawanya vitu
Social Plugin