Kwa mara nyingine tena ishu ya vipodozi
imeingia kwenye mjadala wa Bunge… May 27 2015 nilikusogezea stori toka
Bungeni, Wabunge wakataja majina ya ‘mikorogo’ ambayo sikuwahi kuyajua.
Leo JUNE 09 2015 Mbunge Esther Bulaya
kapata kama dakika moja hivi kabla Bunge halijaahirishwa, akatoa
sentensi hizi tano kuhusu ishu ya wanawake kutumia makalio na maziwa ya
bandia: “Kuna tatizo kubwa limeingia kwa
watu kuweka makalio ya bandia na manyonyo bandia.. Tatizo hili ni kubwa,
kuna picha zinasambaa kwenye mitandao, athari yake watu wanapata cancer
na kuharibika miili yao kutoka majeraha makubwa“>>>
“Serikali
isiangalie suala tu la vipodozi na mikorogo usoni.. hili la watu kuweka
makalio na matiti bandia limeingia na linaleta madhara makubwa sana hasa
cancer“>>>– Esther Bulaya.
Social Plugin