Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akilakiwa na Kikundi cha Ulinzi
wa Jadi cha Sungusungu, alipowasili katika Kijiji cha Hungumalwa njaia
panda ya Mwamashinga alipoanza ziara Jimbo la Kwimba, mkoani Mwanza, ya
kuimarisha uhai wa chama, kukagua utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi
pamoja na kusikiliza kero za Wananchi na kuzitafutia ufumbuzi.
Komredi Kinana akivishwa kofia ya jadi ya Sungusungu wakati wa mapokezi wilayani…
Social Plugin