Headlines kwenye Magazeti leo nyingi zina stori kuhusu Wagombea wa Urais kwa makada wa CCM wameingia kwenye hatua nyingine ya kupita mikoani kwa ajili ya kutafuta wadhamini wao, Makongoro Nyerere ni mmoja wa Wagombea hao ambaYe stori zilizoenea mitandaoni zinahusu msafara wake uliokuwa Kigoma kupata ajali.
Stori imekuwa kubwa na wengine wameipata taarifa hiyo tofauti na jinsi ajali iliyotokea., gari iliyopata ajali ni gari iliyokuwa imebeba Wasaidizi wa Makongoro Nyerere.. Gari hiyo imepinduka ikiwa kwenye mwendo wa kasi.
Watu walioumia ni wasaidizi hao pamoja na Mwandishi wa Habari mmoja.
Kama kuna kingine kitanifikia kuhusu hii ishu nitakusogezea muda wowote mtu wangu.
Wananchi wakiwa eneo la tukio ilipotokea ajali hiyo ya gari la Mhe. Makongoro Nyerere.
Pole kwa wote walioumia kwenye ajali hii.
Social Plugin