Umati
wa WanaCCM pamoja na wananchi wa Mji wa Kigoma, ukiwa umefurika kwenye
Uwanja wa Ofisi Kuu ya CCM Mkoa wa Kigoma, kuja kumuona Mh. Edward
Lowassa (anaeonekana kule mbele) wakati alipofika kuomba udhamini wa
wanachama wa CCM, ili aweze kupata ridhaa ya Chama kuwania Urais wa
Tanzania kwenye Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 25, 2015.
Mh. Lowassa alipata udhaminiwa na wanaCCM 11,250 wa Mkoa wa Kigoma, jana Juni 13, 2015.
Mjumbe wa Mkutano Mkuu (NEC), Daniel Nsanzugwanko (kulia) amkabidhi Mtangaza nia, Majina ya wanaCCM waliomdhani.
Umati
wa WanaCCM pamoja na wananchi wa Mji wa Kigoma, ukiwa umefurika kwenye
Uwanja wa Ofisi Kuu ya CCM Mkoa wa Kigoma, kuja kumuona Mh. Edward
Lowassa (anaeonekana kule mbele) wakati alipofika kuomba udhamini wa
wanachama wa CCM, ili aweze kupata ridhaa ya Chama kuwania Urais wa
Tanzania kwenye Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 25, 2015.
Mh. Lowassa alipata udhaminiwa na wanaCCM 11,250 wa Mkoa wa Kigoma, jana Juni 13, 2015.
Mh. Edward Lowassa akizungumza na WanaCCM wa Mkoa wa Kigoma.
Social Plugin