Viongozi
mbalimbali wa Chama cha Mapinduzi mkoa wa Shinyanga wakiongozwa na mwenyekiti
wa CCM mkoa wa Shinyanga Khamis Mgeja
wakimpokea Mheshimiwa Edward Lowassa.
Mheshimiwa Lowassa akisalimiana na viongozi mbalimbali wa CCM
Mheshimiwa
Edward Lowassa akiwapungia mkono wakazi wa Shinyanga waliojitokeza kumpokea nje
ya jengo la NSSF zilipo ofisi za mkoa za CCM mjini Shinyanga.
Miongoni
mwa wakazi wa Shinyanga waliojitokeza kumdhamini Mheshimiwa Lowassa.
Wadhamini wa Lowassa wakipunga mkono katika ukumbi wa NSSF
Mbunge
wa Bariadi Andrew Chenge akiwapungia mkono wakazi wa Shinyanga waliojitokeza
kumuunga mkono mheshimiwa Edward Lowassa.
Mheshimiwa Edward Lowassa akisalimiana na watoto wenye ulemavu wa ngozi wanaolelewa katika kituo cha Buhangija mjini Shinyanga waliojitokeza kumdhamini. |
Katibu
wa CCM wilaya ya Shinyanga mjini
Charles Sangura akiwasilisha
orodha ya majina ya wadhamini 7014 kwa waziri mkuu wa zamani Lowasa, idadi hiyo ya wadhamini wote ni wanachama hai
wa CCM kutoka katika wilaya zote za mkoa huo
ambao kwa hiyari yao na mapenzi waliyonayo wameamua kumdhamini .
Mheshimiwa Edward Lowassa akiwa na makatibu kata wa CCM aliowahi kufanya nao kazi mkoani Shinyanga miaka iliyopita. |
Wakazi wa Shinyanga wakimpungia mkono mheshimiwa Edward
Lowassa
|
Picha zote na Kadama Malunde- Malunde1 blog
Social Plugin