Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

Mpya Kabisa!! MAJINA YA WALIOOMBA KUJIUNGA NA JESHI LA POLISI TANZANIA 2015 YAMETOKA,ANGALIA YAKO HAPA MAJINA 6032

 
Tembelea www.policeforce.go.tz/index.php/sw/ kuona orodha ya wahitimu wa kidato cha nne 2014 waliochaguliwa kushiriki USAILI wa kujiunga na jeshi la polisi Tanzania 2015.
Bonyeza hapa majina na ratiba majina ya usaili
Ni vema ukachungulia shule za katani kwako ili ukimwona mhusika apewe taarifa ili akashiriki.
Usaili utaanza 03.07.2015.


Majina pia yapo kwenye tovuti ya TAMISEMI www.pmoralg.go.tz na Ofisi ya Kamanda wa Polisi
wa Mkoa/Wilaya iliyo karibu nawe ukatazame endapo jina lako ni miongoni mwa walioitwa
kwenye usaili.


Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com