Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

MTANZANIA ANAYEDAI KUONGEA NA MALAIKA AWALIPUA WABUNGE WA TANZANIA


 Mtanzania Mberito Kimvelye Magova (MBEKIMA/8DAHARI) anayedai kuwa na maono tangu kuzaliwa kwake,anayedai amekuwa akiongea na malaika,mbali na kutabiri mambo mbalimbali,leo katika ukurasa wake wa Facebook ameeleza kukerwa na tabia ya baadhi ya wabunge wa bunge la jamhuri ya muungano wa Tanzania kutumia Kiswahili vibaya

Angalia hapa chini
"
NDANI YA BUNGE NI KULIKONI KUSEMA (PESA NA HELA BADALA YA FEDHA), (MADAWA, MABENKI, MASHULE NA MAKAMPUNI BADALA YA DAWA, BENKI, SHULE NA KAMPUNI) CHACHE AU NYINGI. (MIMI KAMA MBUNGE, NIKIWA
MBUNGE SEMENI MIMI NI MBUNGE), (WATANZANIA MASIKINI, BADALA YA WATANZANIA NI FUKARA) NA (MAHALA NA PAHALA, BADALA YA MAHALI) NAOMBA SAMAHANI WAHESHIMIWA.

BOFYA HAPA KUONA POST ZAKE ZINGINE MATATA ZA FACEBOOK 

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com