News Alert! BUNGE LAAHIRISHWA KUFUATIA KIFO CHA MBUNGE WA GEITA DONALD MAX
الأربعاء, يونيو 24, 2015
Kikao
cha bunge kimeahirishwa hadi kesho saa 3 Asubuhi kutokana na msiba wa
mbunge wa Geita Donald Max aliyefariki jana. Spika wa Bunge Anna Makinda
amesema marehemu Donald Max atazikwa Dar es salaam Jumamosi Juni 27.
R.I.P Donald Max
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com
Social Plugin