Mbunge wa jimbo la Geita Donald Max amefariki dunia leo jioni ya Juni 23, 2015 katika hospitali ya Taifa Muhimbili.
Katibu wa bunge Dr Thomas Kashilila amethibitisha kutokea kwa kifo hicho na kwamba taarifa zaidi zitatolewa kesho Juni 24, 2015.
Msiba huu unatokea ikiwa ni wiki tatu tangu kufariki kwa mbunge wa
jimbo la Ukoga Eugen Mwaiposa aliyefariki Juni 2 mwaka huu na takriban
miezi mitatu tangu kufariki kwa mbunge wa Mbinga Magharib Kapten John
Komba.
Chanzo-EATV
Chanzo-EATV
Social Plugin