Sio picha ya kwanza kutoka ikimuonesha Rais wa Zimbabwe, Robert Mugabe akiwa amesinzia kwenye matukio mbalimbali makubwa.. safari hii kapigwa tena picha akiwa amesinzia wakati wa sherehe za kuapishwa Rais wa Nigeria, Muhammadu Buhari.
Waziri wa Mawasiliano Zimbabwe, Prof. Jonathan Moyo kaingia kwenye ukurasa wake @Twitter na kupost Tweets zilizoonesha hajaipenda hii !!
Sahara Reporters wanalaumiwa moja kwa moja kwa kupiga picha hiyo na kuisambaza mitandaoni.
Hapa nina picha ambazo waliwahi kupigwa viongozi wengine wakubwa baada ya kukutwa wamesinzia.
Abdurrahman Wahid, picha hii ilipigwa wakati huo alikuwa Rais wa Indonesia
Naoto Kan, aliwahi kuwa Waziri Mkuu Japan na Waziri wa Fedha vilevile
Via>>Millardayo.com
Social Plugin