Mashabiki wengi wanawafahamu mastaa wao wa soka kwa sasa lakini hawajui zamani walikuaje? Cristiano Ronaldo, Lionel Messi na wengine walikuwaje wakiwa watoto.
Hapa nimekukusanyia picha za mastaa 15 wa soka Ulaya kabla ya kuwa mastaa kama walivyo sasa.
Lionel Messi wa sasa na wakati akiwa mtoto
Cristiano Ronaldo wa sasa na wakati akiwa mtoto
Neymar wa sasa na wakati akiwa mtoto
David Beckam wa sasa na wakati akiwa mtoto
Ronaldinho wa sasa na wakati akiwa mtoto
Maradona wa sasa na wakati akiwa mtoto
Wilshere
Walcot
Welbeck
Smilling
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com
Social Plugin