Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

NYIMBO ZA KUMSIFIA LOWASSA ZAENDELEA KUVUJA,SIKILIZA MWINGINE UKO HAPA


Baada ya Mwimbaji wa nyimbo za injili nchini Bahati Bukuku kumwimbia Edward Lowassa,safari hii ni wimbo kutoka kwa msanii kaka Jay kutoka Kahama ,mkoani Shinyanga ambaye ni maarufu kwa kuimba nyimbo za Kizalendo.
Wimbo huu wa Kaka Jay(Pichani) unaitwa Twampenda Lowassa,nimeupata Mahali flani ,Usikilize hapa chini mtu wangu.

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com