SIYO VITUKO BALI NI UKWELI KABISA!! ANGALIA MATUMIZI YA GARI ZA AINA HII HUKO KENYA
الأحد, يونيو 07, 2015
Kuna picha unaweza kuona mtu kapost
kwenye mitandao ya kijamii alafu ukaona kama ni picha ya kutengenezwa
hivi na haina ukweli wowote.. amini kwamba ziko nyingine ni za ukweli
kabisa!!
Julius Kipkoech katusogezea hizi picha… haya ndiyo matumizi mengine ya hizi gari aina ya Toyota Probox ndani ya Kenya mtu wangu.
Hii imebeba abiria.. Ukiangalia kwa haraka haraka watu waliomo ndani na mizigo imezidi uwezo wa gari yenyewe.
Hii imebeba list ya mastaa wa soka na majina mengine ya timu za mpira wa miguu.
Hawa walipakia ng’ombe kabisa.
Hii iko zake kijiweni inasubiri abiria.
Hii imepakia tanki.
Huu ndio mwonekano wa Toyota Probox mpya kabisa.
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com
Social Plugin