Mbunge wa jimbo la Ukonga Dar es Salaam kupitia tiketi ya (CCM)
Eugine Mwaiposa amefariki dunia usiku wa kuamkia leo akiwa usingizini
nyumbani kwake Dodoma.
Bunge limeahirishwa hadi keshokutwa baada ya kufanyika kwa taratibu za mazishi
Mungu ametoa Mungu ametwaa jina lake lihimidiwe.
R.I.P Eugine Mwaiposa
Social Plugin