TAZAMA HAPA VIDEO MPYA YA KALA JEREMIAH Ft ROMA- "NCHI YA AHADI"
Saturday, June 20, 2015
Kala Jeremiah na Roma wameungana kutoa video Mpya ‘Nchi ya Ahadi’ .
Kwenye Video hii Kala amechukua nafasi ya mwananchi anayemuuliza maswali
magumu Roma ambaye ni mwanasiasa anayetafuta nafasi nyingine ya
uongozi.
Ni Video nzuri hasa kwa kipindi hiki kuelekea Uchaguzi mkuu ujao nchini Tanzania.Itazame hapa
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com
Social Plugin