VIDEO HII YA DODOMA SINGIDA YA MTANZANIA,YAPIGWA MARUFUKU HUKO KENYA,IANGALIE IKO HAPA
Saturday, June 27, 2015
Mzaliwa wa Tanzania Colonel Mustafa ni msanii wa siku nyingi kwenye muziki Kenya alikokulia na kutengeneza nyimbo nyingi zikiwemo ‘hey baby’ ft. Marya na Mtaani.com ft. Avril ambapo this time yuko kwenye headlines na hii video yake mpya ya Dodoma Singida.
Kwenye Interview Mustafa amethibitisha kwamba video
yake mpya imefungiwa kuonyeshwa kwenye vituo vya TV kutokana na warembo
walioonekana ndani yake, yani kutokana na mavazi waliyovaa na
kujiachia.
Mustafa amesema hajajutia uamuzi wa kuifanya hiyo video na sio kitu kibaya kwake, mbona za kina Nicki Minaj
zilizowazi kuliko hizi zinapigwa na vituo hivyohivyo vya TV Kenya? hii
inakuwa sio video ya kwanza kutangazwa kutoonyeshwa kwenye TV,
zilizotangulia ni ‘nishike’ ya Sauti Sol na You guy ya ‘P unit’
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com
Social Plugin