Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

VIDEO HII YA DODOMA SINGIDA YA MTANZANIA,YAPIGWA MARUFUKU HUKO KENYA,IANGALIE IKO HAPA

Dodoma Singida 2 

Mzaliwa wa Tanzania Colonel Mustafa ni msanii wa siku nyingi kwenye muziki Kenya alikokulia na kutengeneza nyimbo nyingi zikiwemo ‘hey baby’ ft. Marya na Mtaani.com ft. Avril ambapo this time yuko kwenye headlines na hii video yake mpya ya Dodoma Singida.

Kwenye Interview  Mustafa amethibitisha kwamba video yake mpya imefungiwa kuonyeshwa kwenye vituo vya TV kutokana na warembo walioonekana ndani yake, yani kutokana na mavazi waliyovaa na kujiachia.

Mustafa amesema hajajutia uamuzi wa kuifanya hiyo video na sio kitu kibaya kwake, mbona za kina Nicki Minaj zilizowazi kuliko hizi zinapigwa na vituo hivyohivyo vya TV Kenya? hii inakuwa sio video ya kwanza kutangazwa kutoonyeshwa kwenye TV, zilizotangulia ni ‘nishike’ ya Sauti Sol na You guy ya ‘P unit’

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com