Video Mpya Kabisa!! TAZAMA HAPA VIDEO YA JOSE CHAMILIONE_ Inaitwa "BWERERE"
Wednesday, June 24, 2015
Staa wa East Afrika Jose Chameleone amerudi kwenye headlines kwa mara nyingine na safari hii ameachia Video ya nyimbo yake mpaya ya inayoitwa ‘Bwerere’. Katika video hiyo iliyofanyika Uganda imefanyika chini ya mtayarishaji Nolton pamoja na George. Itazame hapa chini
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com
Social Plugin